Cv Joint
Senior Member
- Sep 1, 2022
- 119
- 114
Hamna weng tumekariri mm nilishawah kuweka timu 45 nikakosa timu moja mkeka ulikuwa unasoma 70Labda stake iwe 100m
Labda stake iwe 100m
Labda stake iwe 100m
Hamna weng tumekariri mm nilishawah kuweka timu 45 nikakosa timu moja mkeka ulikuwa unasoma 70Labda stake iwe 100m
Labda stake iwe 100m
Labda stake iwe 100m
1Xbet,,,, nimetia 20,,,,, ikitoa una kilo yako1xbet G: lyjz6
Paripesa: vc4z6
Helabet: pb4z6
😂😂😂Naona jamani nipumzike kidogo wadau, nakoelekea nadata aisee, Mpaka mama chanja kashanishtukia anaishi na jokeri ndani.
Mwogezee na Sporting Cp hafanyi utaniUhakika ushindi 85%
Genk
Leverkusen
Sporting lisbon
Psv eindhoven
Fc salzburg
Mengineyo tuiachie mizimu ya mababu zetu itende miujiza
Leteni won zenu za jana ili tuhamisike, wengine tumekufa mioyo na maini
Leteni won zenu za jana ili tuhamisike, wengine tumekufa mioyo na maini
Leteni won zenu za jana ili tuhamisike, wengine tumekufa mioyo na maini
Kama una mtaji we stake tu, hakuna kukata tamaaLeteni won zenu za jana ili tuhamisike, wengine tumekufa mioyo na maini
Cashout ukijichanganya tu lazima ujilaumu maisha Yako yote💪👏👏👏
Sio mbaya bado Mechi mbili nime Cashout mikeka yangu yooote mapemaaaaaaa,maana nikifanya kusubiria CASHOUT inashuk
Maana Match ya real Madrid niliipa bookings 2.5 na PSG nilimpa Win or Draw
👏👏👏 Kesho naamka vizuri ,alieleta CASHOUT button kuna siku anakuwa mtu wa maana,ila Jana alikuwa mpumbavvvvvv tu,nili CASHOUT kisha zikatoa🤣🤣🤣
Mbetie arsenal ule hela Leo si unaona anashindaNimejifunza kitu!!!
Tunabeti kwa hisia sana kuliko kufikiri,,,,,, hili jukwaa leo ni ununio kama cyo kwa mkapa
Ni sawa na mtu anakwambia city anapoteza kwa arsenal na anabisha kabisa, alooh,,,,,
Acha Chelsea tukachukie nafasi yetu gari limewaka,,,,,,
Hawa mawakala wao ndio wanapiga kelele wakiweka hizo mobile za kibongo maana kwao wateja wanapungua1xbet siku hizi wanakata kodi? upuuzi
deposits na withdraw kwa upande wa mitandao yetu naona wametoa pia
Leteni won zenu za jana ili tuhamisike, wengine tumekufa mioyo na maini
Kaka pm hazifunguki km una kitu urgently tunaweza wasiliana via phone numberH8RY4QQ betpawa