Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Treni leo mbaka jmosi
Odds:1703.83
 
Attachments

  • Screenshot_20240924-175350.jpg
    108.3 KB · Views: 6

TODAY'S 2+ ODDS PARIPESA

Bet Kwenye PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code TIPS2424 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code👉 TIPS2424

PariPesa Code👉 QGQHU

STAKE 50000 TO WIN 250000.
 
Mkuu hakika siwezi kuvaa viatu vyako kabisa, wewe ni wa level zingine. Vipi lakini ulishajenga mkuu?
Mkuu betting inabidi kufanya kwa kumaanisha. Na kama unatafuta odds chache kuanzia mbili mpaka 10 basi Weka Stake kubwa ambayo kama utawin, hela peleka kwenye miradi mingine ya kuzalisha pesa zaidi.
 
Mkuu betting inabidi kufanya kwa kumaanisha. Na kama unatafuta odds chache kuanzia mbili mpaka 10 basi Weka Stake kubwa ambayo kama utawin, hela peleka kwenye miradi mingine ya kuzalisha pesa zaidi.
Aisee ni kweli mkuu, wengi tunaogopa kujilipua kwasababu ya kuhofia kupoteza
 
Wale wazee wa ugali kidogo mboga nyingi Mechi ya yanga kesho ni kwenda na 2.5O au 2/2
Odds 1.8 hiyo ni ya kupiga single bet stake ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…