Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportybet option ya booking wangeanza na over 2.5 ingekuwa pouwa sana, na corner wangeanzia na over 5.5 ingekuwa bonge moja la kampuni
 
Wakubwa muda huu betpawa iko na shida ni kwangu tu au
Haikubali kulog in
 
Sportybet option ya booking wangeanza na over 2.5 ingekuwa pouwa sana, na corner wangeanzia na over 5.5 ingekuwa bonge moja la kampuni
😂 Hawawez Fanya kazi ya hasara , wapo Kwa manufaa Yao sio kukufaidisha ww , mwishowe utasema Kona waanze over 0.5 au Kona waeke double chance ili we uwe unacheza ashinde yoyote😂
 
Sportybet option ya booking wangeanza na over 2.5 ingekuwa pouwa sana, na corner wangeanzia na over 5.5 ingekuwa bonge moja la kampuni
Unadhan nao hawana akili ,gemu nyingi sana znatoa kadi kuanzia 3 na kona kuqnzia 6
 
View attachment 3104042

Oya hapa mhindi sijamwelewa na nijilaumu kwa cash out
Hiyo game ya Enyimba imeenda 0:0 na mimi niliweka home win lakini kapita kwa penati saa hizi nachungulia naona green kama green 🤣🤣 na hapo nilicash out kiasi nikaacha kiasi kidogo tu
ukishacashout wanaweka green haijalishi matokeo ya mwisho

waulize ambao hawakucashout Enyimba kwao ni Red
 
Wakala mmoja hivi wa 1x bet, yaani yeye akiona tu watu wamehamia 888starz au kampuni yeyote analalamika, na akiona 1xbet wameweka mobile payment methods yaani hapo ndo analia kama mtoto aliyenyimwa uji halafu kanakuja na vitisho juu, inshort jamaa anamambo fulani ya kizamani sana

BTW: Ninampongeza kwa kazi yake nzuri, yupo chapu na hana longolongo
Romano ndio nani mkuu
 
Shaba ukosi odds 3
 
Attachments

  • IMG_20240922_152756_776.jpg
    IMG_20240922_152756_776.jpg
    36.1 KB · Views: 4
  • IMG_20240922_152747_484.jpg
    IMG_20240922_152747_484.jpg
    111.2 KB · Views: 4
-xtdu42.jpg

BET OF THE DAY ON PARIPESA

Bet Kwenye PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 👇.

Link: PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉 TIPS2424

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate bonus ya 300,000 ambayo Utaitumia Kwa Kubetia Leo Hii.

Booking Code: ZVLB7
 
Wakala mmoja hivi wa 1x bet, yaani yeye akiona tu watu wamehamia 888starz au kampuni yeyote analalamika, na akiona 1xbet wameweka mobile payment methods yaani hapo ndo analia kama mtoto aliyenyimwa uji halafu kanakuja na vitisho juu, inshort jamaa anamambo fulani ya kizamani sana

BTW: Ninampongeza kwa kazi yake nzuri, yupo chapu na hana longolongo
Nipe contact zake
 
Back
Top Bottom