Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,438
- 15,674
Huko sijawahi kutumia, hii naiona makampuni ya mrusi hususani megapari.Hivi sporty bet Wana hii option
Nyingine nimejaribu hii hapa na imetoa kadi 3.
Huko sijawahi kutumia, hii naiona makampuni ya mrusi hususani megapari.Hivi sporty bet Wana hii option
leipzig katoa nyau nyauAnhaaa umeona sasa kaka mpira ulivo.
Imagine nimesuka mkeka wa team 10 odds 6 7 zimetiki kabaki atletico nimempa goal moja, nimempa handcap ya 1 inter, na reipzig ft over 1.5 ,ila hadi sasa nahis leipzig kachana hata matoeko yake sijafatilia
Tatizo ya mrusi makampuni yake janjajanja nyingiHuko sijawahi kutumia, hii naiona makampuni ya mrusi hususani megapari.
Nyingine nimejaribu hii hapa na imetoa kadi 3.View attachment 3103698
1xbet angalau ila wengine huwa hawadumu miaka miwili bila kusumbua payment method.Tatizo ya mrusi makampuni yake janjajanja nyingi
Aisee noma sana1xbet angalau ila wengine huwa hawadumu miaka miwili bila kusumbua payment method.
Akina 22bet walisepa, melbet na betwinner walisepa wakarudì. Linebet alikuja akasepa.
Ila 1xbet nimekimbia kodi nimejishikiza huku na nimejiandaa kwa lolote maana nayo ni sehemu ya kamari na hawaaminiki hawa.
Wewe uliwezesha google authenticator code.MSAADA ANAYE JUA JINSI HA KUTOA PESA PARIPESA MAANA NAJARIBU NASHINDWA NAAMWIWA NI WEKE GEOOGLE CODE NDO IPI
Betwiner yupo na anatumia domain ya .co.tz kuonesha yupo kisheria zaidi1xbet angalau ila wengine huwa hawadumu miaka miwili bila kusumbua payment method.
Akina 22bet walisepa, melbet na betwinner walisepa wakarudì. Linebet alikuja akasepa.
Ila 1xbet nimekimbia kodi nimejishikiza huku na nimejiandaa kwa lolote maana nayo ni sehemu ya kamari na hawaaminiki hawa.
Hapo bwana Romano ndo anafurahi kwelikweli1xbet siku hizi wanakata kodi? upuuzi
deposits na withdraw kwa upande wa mitandao yetu naona wametoa pia
Jibu Zuri SanaSuka wako unaoshinda utume turuke nao
Huyu mmbwa kanikosesha laki tisa janaTimu za kuziogopa msimu huu ambazo zimeanza vibaya
1. Rb Leipzig
Wametoa maelezo kwamba wanafanya maintenanceBetpawa wanna nini,nashindwa kulog in?
😂 Hawawez Fanya kazi ya hasara , wapo Kwa manufaa Yao sio kukufaidisha ww , mwishowe utasema Kona waanze over 0.5 au Kona waeke double chance ili we uwe unacheza ashinde yoyote😂Sportybet option ya booking wangeanza na over 2.5 ingekuwa pouwa sana, na corner wangeanzia na over 5.5 ingekuwa bonge moja la kampuni
Jibu Zuri Sana
Anafikiria Betting ni Rahisi namna hiyo
Hawa NDIO wanaotapeliwa
Odds 1.01😂 Hawawez Fanya kazi ya hasara , wapo Kwa manufaa Yao sio kukufaidisha ww , mwishowe utasema Kona waanze over 0.5 au Kona waeke double chance ili we uwe unacheza ashinde yoyote😂