Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Rb leipzig anachelewesha shughuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeingia sehemu ya Withdraw na umeiona? Kama umeiona Bonyeza kisha utaona mtandao uliojisajilia PARIPESA. Na kama hukujisajili kwa mtandao wa simu, basi activate account yako kwa namba ya simu na utaweza kutoaMSAADA ANAYE JUA JINSI HA KUTOA PESA PARIPESA MAANA NAJARIBU NASHINDWA NAAMWIWA NI WEKE GEOOGLE CODE NDO IPI
Kwani akaunti yako uli iwezesha na authentication code mkuu?MSAADA ANAYE JUA JINSI HA KUTOA PESA PARIPESA MAANA NAJARIBU NASHINDWA NAAMWIWA NI WEKE GEOOGLE CODE NDO IPI
Mkuu hakuna alinayejua kila kitu. Nadhani hata wewe mara ya kwanza kutumia Sportybet haikuwa rahisi kuijua vizuri. Kadri unavyotumia ndivyo unavyo jua kitu.TANGAZO:-
Nyie MLIOINGIA huko PARIPESA mnatujazia page za malalamiko
Wiki mzima hiiii ni nyie tuuuuuu,kila mtu na kesi zake,hivi mlitumwa huko?
Aliewaingiza Chaka mwenyewe katuliaaa anatupia CODE nyie mnajaza malalamiko.
Mnazingua kwel
SER endelea kututupia Code za PARIPESA mwenye malalamiko awapigie sim
Wapuuzi sana haoRb leipzig anachelewesha shughuli
Anhaaa umeona sasa kaka mpira ulivo.Yaani kwa matokeo ya city kwenye ligi + wachezaji walioko na ligi ndo iko kwenye moto hivi,,,,, arsenal akishinda au kupata hata sare basi kweli mpira ni mbinu na siyo ubora wa wachezaji
Huko sijawahi kutumia, hii naiona makampuni ya mrusi hususani megapari.Hivi sporty bet Wana hii option
leipzig katoa nyau nyauAnhaaa umeona sasa kaka mpira ulivo.
Imagine nimesuka mkeka wa team 10 odds 6 7 zimetiki kabaki atletico nimempa goal moja, nimempa handcap ya 1 inter, na reipzig ft over 1.5 ,ila hadi sasa nahis leipzig kachana hata matoeko yake sijafatilia
Tatizo ya mrusi makampuni yake janjajanja nyingiHuko sijawahi kutumia, hii naiona makampuni ya mrusi hususani megapari.
Nyingine nimejaribu hii hapa na imetoa kadi 3.View attachment 3103698
1xbet angalau ila wengine huwa hawadumu miaka miwili bila kusumbua payment method.Tatizo ya mrusi makampuni yake janjajanja nyingi
Aisee noma sana1xbet angalau ila wengine huwa hawadumu miaka miwili bila kusumbua payment method.
Akina 22bet walisepa, melbet na betwinner walisepa wakarudì. Linebet alikuja akasepa.
Ila 1xbet nimekimbia kodi nimejishikiza huku na nimejiandaa kwa lolote maana nayo ni sehemu ya kamari na hawaaminiki hawa.
Wewe uliwezesha google authenticator code.MSAADA ANAYE JUA JINSI HA KUTOA PESA PARIPESA MAANA NAJARIBU NASHINDWA NAAMWIWA NI WEKE GEOOGLE CODE NDO IPI
Betwiner yupo na anatumia domain ya .co.tz kuonesha yupo kisheria zaidi1xbet angalau ila wengine huwa hawadumu miaka miwili bila kusumbua payment method.
Akina 22bet walisepa, melbet na betwinner walisepa wakarudì. Linebet alikuja akasepa.
Ila 1xbet nimekimbia kodi nimejishikiza huku na nimejiandaa kwa lolote maana nayo ni sehemu ya kamari na hawaaminiki hawa.
Hapo bwana Romano ndo anafurahi kwelikweli1xbet siku hizi wanakata kodi? upuuzi
deposits na withdraw kwa upande wa mitandao yetu naona wametoa pia
Jibu Zuri SanaSuka wako unaoshinda utume turuke nao