Ulizuia magoli?chelsea na mwenzake wanacheza netball[emoji849][emoji849][emoji849]
Leo ni leoKituo kinachofwata ni Arsenal baada ya kutoka kituo Man city Leo ndio leo
mikeka ya city rebet ujakaa sawa Arsenal huyu hapaLeo ni leo
Naona Sasa hivi wamebadirisha miguu sahivi wanarushiana na mikono😀tuAseno ameuwa uko
Pumbav zake chupu chupu nicash out nachungulia cash out nakuta 9901 nikaamua kumuachia kanjiAseno ameuwa uko
Daah hii kazi ngumu sana wazeeKuna mtu halali leo