Ikipigwa madame unaifanyaje watu wapo serious ujue ooh😆Mmoja ajitolee kunichezea.
Naweka mezani laki 8 ya mchezo.
Niko serious
Basi, hiyo haikuwa bahati yanguIkipigwa madame unaifanyaje watu wapo serious ujue ooh😆
Unatumia website yoyote ya betting, nenda na HawaBasi, hiyo haikuwa bahati yangu
Sina website yoyote mpwa 🤔Unatumia website yoyote ya betting, nenda na Hawa
Liverpool
Real Madrid 2x
Weka mzigo wako wao wanaenda kucheza uwanjani
Anaweka mkeka na kukutumia screen shot unaziona Sasa mnabaki kuziangalia uwanjani hii sio biko Wala tatu mzuka eti matokeo hayajulikani😆Sina website yoyote mpwa 🤔
Hiyo 2x sijui hata ndo nini.
Ningepata muaminifu, ningemtumia pesa kwenye account yake ili anichezee......sema sasa humu Jf mawinga na wajanja wajanja kibaoo😅😅.
Atakwambia kachaniwa mkeka, kumbe pesa kaitafunia #KitambaacheupeMbagala 😂😂😂
Nenda Google chrome kafungue kitu kinaitwa betpawa search hapo harafu uta jisajili na sehemu ya kuweka pesa yako utaona ikipigwa ni wewe Sasa unalia na mwenye betpawa🤣Sina website yoyote mpwa 🤔
Hiyo 2x sijui hata ndo nini.
Ningepata muaminifu, ningemtumia pesa kwenye account yake ili anichezee......sema sasa humu Jf mawinga na wajanja wajanja kibaoo😅😅.
Atakwambia kachaniwa mkeka, kumbe pesa kaitafunia #KitambaacheupeMbagala 😂😂😂
Mhhhh.....pesa hiyo ujue!!!Anaweka mkeka na kukutumia screen shot unaziona Sasa mnabaki kuziangalia uwanjani hii sio biko Wala tatu mzuka eti matokeo hayajulikani😆