Mkuu hio option ya away or over 2.5 unaipata wapiHaya kumekucha
Milan nae kaanza kichapo kwa Ihefu fc
Niliwakimbia kwenye options mapemaaa,nawadai sasa magoli 2
View attachment 3148002
Tabia hii walikuwa wanayo premier bet,ukitoa hela usiku inaingia kesho yake mchana nikawakimbia.Vp wakuu iv parimatch huwa hawana huduma ya kutoa pesa usiku🤔
Scroll down utaikuta ipo wazi tuMkuu hio option ya away or over 2.5 unaipata wapi
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kuna mapengo ya rodri na de bruyne pale katinilimpa x2 nikiamini -awezi pigwa game 4 mfululizo,
next anakutana na liverpool,
city na pep wapo kwenye wakati mgumu sana
City blacklisted till further notice
Anakufa mapema sana kwa Livernilimpa x2 nikiamini -awezi pigwa game 4 mfululizo,
next anakutana na liverpool,
city na pep wapo kwenye wakati mgumu sana
Anachopitia City ni sawa na anachopitia Yanga.Ila city hakua anaeleweka alafu Brighton sio mnyonge kiivyo kumbetia city ilikua risk sana
City kazidi,yanga mbili tuAnachopitia City ni sawa na anachopitia Yanga.
Sometimes uwe unasema kweli. Huwezi kuweka hizo stake SPORTYBET sababu kule hakuna demo account.Mtandao wako ndiyo wenye shida huko uliko. Mimi natumia PariPesa Na iko fasta sana. Pia kwa njia ninayo tumia kubet mimi Sportybet haifai kwa high stake. Angalia machaguo niliyo chagua mimi, halafu Angalia kama utayaona yapo Sportybet