Ni process ndefu sana na makato yamechangamka, tumeshafanyaga kipindi cha nyuma kama sio 2019 kipindi 1xbet wameondoa mobile payment.mkuu umesema unaweza deposit kwa crypto kupitia mitandao ya simu sasa mm sijafahamu kvp hebu tueleze vizuri in details yaani tukishaingia menu ya m pesa tuendelee vp kwenye crypto hadi kudeposit au withdrawal toka makampuni ya kubet je,inataka uwe na account ya crypto au ni vp..ebu fafanua hii
La SportyBetOyaaa mwenye tren la kuanzia odds buku ambalo ashaliweka anipasiee nimchangie muhind ela ya kusomesha wanae
200 hizoOyaaa mwenye tren la kuanzia odds buku ambalo ashaliweka anipasiee nimchangie muhind ela ya kusomesha wanae
Oya wadau hv soko la first ten minutes, huwa linaishia dk ya 9:59 au 10:59