The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,938
- 4,964
Imenikuta hiyo mkuu, kuna siku PSG anacheza na team ya ligue 1 yuko home,Betting ilivyo ya ajabu unakuta mpaka dakika ya 90 ni 3:0 hizo hizo.
Kuna muda unabeti mechi 1 kwa option ya over 1.5 sekunde ya 34 linaingia goli la kwanza na ndio linadumu hilo hilo mpaka FT hadi unahisi mhindi anakutafuta wewe binafsi.
Kabla hata dk ya kwanza haijatimia Barcola katia goal, nikasemq yes hii gemu ngoja niifate live watoe over 1.5 , duuuuh aisee gemu iliisha 1 bila na 16k ikaenda
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app