The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,938
- 4,964
Imenikuta hiyo mkuu, kuna siku PSG anacheza na team ya ligue 1 yuko home,Betting ilivyo ya ajabu unakuta mpaka dakika ya 90 ni 3:0 hizo hizo.
Kuna muda unabeti mechi 1 kwa option ya over 1.5 sekunde ya 34 linaingia goli la kwanza na ndio linadumu hilo hilo mpaka FT hadi unahisi mhindi anakutafuta wewe binafsi.
Hii mechi ya Romania na Kosovo imekaaje wakuu maana naona imekuwa suspended na sijui kama itachezwa tena au bet itakuwa void nielewesheni maana nilimpa Kosovo ashinde mazima
Hizi odds ni kama zimeshatoa yule jamaa kashida dhidi ya TysonHii naiona hela kabisaaaaa
Hizi odds ni kama zimeshatoa yule jamaa kashida dhidi ya Tyson
Kwa hyo ushindi wa kupewa ukitokea kanji anakuwa kashinda au ananirudishia hela yangu Na bet inakuwa void ndo nataka nielewe hapoIlitokea Fujo dk 90+ (ndan ya zile dk za nyongeza).
Game ilikuwa 0-0 .
Wachezaj wa Cosovo wakatoka uwanjan, wakasubiriwa baada ya lisaa limoja hawakurudi, refa akaanzisha mpira kukiwa na wachezaj wa Romania wenyewe, alaf mpira ulivyoanza tu , akapiga filimbi uishe.
Uwezekano mkubwa Romania akapewa ushindi. Point 3 na goli 3.
Kwa hyo ushindi wa kupewa ukitokea kanji anakuwa kashinda au ananirudishia hela yangu Na bet inakuwa void ndo nataka nielewe hapo
Dogo kazingua sanaHizi odds ni kama zimeshatoa yule jamaa kashida dhidi ya Tyson
Kaka upo vizur nikiangalia apa kwa jana tu ume stake laki 9 na nusu, Leo ume stake laki 6 na 45k heshima yako kakaππView attachment 3153865
πππππ π ππ ππππππππ
Code: RMSC5
Bet PariPesa
Jisajili Hapa https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Telegram Kayombo Tips β½π₯ππΎπ±π
Demo account hizo,,usiogope hana lolote zaidiKaka upo vizur nikiangalia apa kwa jana tu ume stake laki 9 na nusu, Leo ume stake laki 6 na 45k heshima yako kaka[emoji119][emoji119]
Ni wivu tuDemo account hizo,,usiogope hana lolote
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Demo account hizo,,usiogope hana lolote zaidi