Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimeenda kulala nikitegemeana asubuhi kukutana na ya vocha maana niliacha game ya belgium na nilimpa dc.......
maajabu sijaona kitu kwenye account!!!

belgium wana tatizo gani?
international games imetosha sasa..... nisubiri ligi tu
 
Mi nilichakazwa fasta fasta mapema saa mbili nilimpa England ashinde 1H.
 
nimeenda kulala nikitegemeana asubuhi kukutana na ya vocha maana niliacha game ya belgium na nilimpa dc.......
maajabu sijaona kitu kwenye account!!!

belgium wana tatizo gani?
international games imetosha sasa..... nisubiri ligi tu
Leo game zipo
 
0032D2

Nataka nitie mzigo wa maana hapo hebu nipeni maoni yenu mechi nne tu odds 2.4
 
Attachments

  • share_1731926379276.jpeg
    117.3 KB · Views: 2
Jamani ni kwangu tuu ama ni kwa woteπŸ˜₯
Naona kama 1XBET wametoa mfumo wa kutoa pesa kutumia mobile payment.
Sijui ndiyo maboresho zaidi sijajua
 
Jamani ni kwangu tuu ama ni kwa woteπŸ˜₯
Naona kama 1XBET wametoa mfumo wa kutoa pesa kutumia mobile payment.
Sijui ndiyo maboresho zaidi sijajua
Hiyo nilikimbia mafala nili roll over mpaka 800k alafu niliweka pesa kwa Airtel Sasa wakati nataka kutoa pesa hakuna njia wakatinzilizkiwepi huo ni mchezo wa KISHENZI wa 1xbet niliishia iusimulia wajukuu, naambiwa niweke tena kiasi cha pesa kwa kutumia wakala alafu nibeti kwa odd ndogo na minmachale yashanicheza maana sikutaka kuendelea na roll over nimetafuta hiyo game yenye odd ndogo wamerudisha hela yote nimeishia kupigwa nime uninstall app yao sirudi tena!
 
πŸ‘ πŽπƒπƒπ’ 𝐎𝐍 ππ€π‘πˆππ„π’π€βš½

Code: 7K2HN

Betia PariPesa

Jiunge Hapa πŸ‘‡ https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure.
 
Wakubwa game ya taifa stars kesho dhidi ya Guinea naona ina odds tamu na zinapanda tu , sahv ni 3.25... nataka nitie 100k, Je mlioitazama hiyo Guinea wapo vzr? sijabahatika kuwaona mechi ya juzi dhidi ya DR Congo.
 
Cheza ht draw au full time under 2.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…