Mechi haitakua rahisi guinea nao wanataka kufuzu na wana lile jamaa linafunga hatari so changa karata zako vizuri kabla hujatia mzigoWakubwa game ya taifa stars kesho dhidi ya Guinea naona ina odds tamu na zinapanda tu , sahv ni 3.25... nataka nitie 100k, Je mlioitazama hiyo Guinea wapo vzr? sijabahatika kuwaona mechi ya juzi dhidi ya DR Congo.