Everton jeHuyu Bournemouth watu wako pungufu ata goli Moja hajapata
Nshaikatia tamaa aiseHuyu atletico leo kimeturamba
Alaaniwe mpk na mizimu ya babu yake unakosaje goal MojaZamu ya Atletiko tukukomesha
Acha tu Ile comeback imeniuma mnoAnachofanya leipzig mnakielewA??
Baada ya comeback ya atletico Sasa anaetishia maisha yetu ni galatasaray
Mkuu ulikua na mechi zote za mapema?Daah nimeacha zaidi ya laki 8 kwa kucash out nikimhofia atletico
Narudi nakuta ameshinda na mkeka wangu umetick wote aisee
Mimi siwazagi kabisa kucash out yani bora tu iwe loose kuliko kucash out alafu timu ipate matokeoNikiwa nataka kucashout 16 elf mara atletiko kasawazisha
Ndio mkuu mkeka ulianza jana nilikua Namalizia mech za leoMkuu ulikua na mechi zote za mapema?
Uvumilivu mkuu unatushinda mimi niki cashout tu utakuta Dakiki ya majerui timu inashidaDaah nimeacha zaidi ya laki 8 kwa kucash out nikimhofia atletico
Narudi nakuta ameshinda na mkeka wangu umetick wote aisee