Nguvuyabwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 203
- 503
Apo vipi πPsv ameshikilia me
mkekawangu sidhani kama ataweza kufanya comeback
PSV kashinda mkuu 3-2Psv ameshikilia me
mkekawangu sidhani kama ataweza kufanya comeback
Toka ametokq PSG nyota sijui imeisha hakuna kituIla mbape π
Hii option inayotoa nafasi ya kuleta uwiano wa mchezo kwa kuruhusu timu mojawapo ifungwe au iongoze kabla mchezo haujaanza. Technically, ufanyaji kazi wake unafanana na double chance ila unakupa option to move the line to the best odds as possible.Wakuu habari. Naomba kuuliza, hivi handcap ni nini au ina maana gani
Nimeona Asubuhi maana ilibidi nilale mambo saaafi mkeka umetickPSV kashinda mkuu 3-2
Pole sanaJamani imeniuma kweli yaani nilikua nimebet mechi mbili Dotimund na PSV nilikua nmeweka 100,000 nilikua nakula 215,000 mpaka dakika ya 70 PSV kafungwa 2 ikabidi niangalie cashout nikakuta inasoma 30,000 ikabidi nipite nayo nika lala nimeamka nakuta PSV kachomoa goli zote mbili nakuongeza moja yaani maumivu niliyonayo hayaelezeki.View attachment 3163747
Yaani ulitegemea Madrid amfunge Liverpool kweli?Madrid shenzi zako
umetoa point nzito sana mkuu, ila niwe mkweli kuchambua sana games nilishaacha maana niliona haisaidii...... but hii point uliyo-raise hapa ni ya msingi sana na sikuzingatia,Huwa unaangalia taarifa rasmi za timu kuelekea mchezo husika? Majeruhi, morali au nani kasimamishwa? Huwa vinaathiri sana matokeo ya mchezo. Stuttgart leo wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza hawakusafiri na timu Undav, Lewing, Al-Dakhil wote hawa hawakuwepo hata kiungo wao mkabaji Stiller alicheza na maumivu.
πππππJamani imeniuma kweli yaani nilikua nimebet mechi mbili Dotimund na PSV nilikua nmeweka 100,000 nilikua nakula 215,000 mpaka dakika ya 70 PSV kafungwa 2 ikabidi niangalie cashout nikakuta inasoma 30,000 ikabidi nipite nayo nika lala nimeamka nakuta PSV kachomoa goli zote mbili nakuongeza moja yaani maumivu niliyonayo hayaelezeki.View attachment 3163747
Nilimpa apate goli 1Yaani ulitegemea Madrid amfunge Liverpool kweli?
Sawa ngoja nicheki,Check hii, 8B314EF ushauri huo mzigo wako ungetafuta odds kidogo harafu ndo unaweka, check kwanza hiyo code
View attachment 3163498
ππ¨π₯π₯ ππ―ππ« πππ² π
Code>>> TXESU
Tumia Promo Code ππππππππ Upate Bonus Ya πππ,πππ Ukideposit.
Jisajili PariPesa Hapa π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: ππππππππ
Pole sana cash out muda mwingine Ina mambo sana, mfano ungesema uache labda wakatoka 2-2 ftJamani imeniuma kweli yaani nilikua nimebet mechi mbili Dotimund na PSV nilikua nmeweka 100,000 nilikua nakula 215,000 mpaka dakika ya 70 PSV kafungwa 2 ikabidi niangalie cashout nikakuta inasoma 30,000 ikabidi nipite nayo nika lala nimeamka nakuta PSV kachomoa goli zote mbili nakuongeza moja yaani maumivu niliyonayo hayaelezeki.View attachment 3163747