Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

katika siku betting imeniumiza ni jana kumamae,naingalia cash out ya laki770,..win ilikua 850..apo atlanta nlokua nahofia sana game yake anaongoza 4,barca 2 ,liverkusern 3,man city 3..dah mara goli za mancity zikaanza kurudi kumamae..zilipofika mbili uku liberkusern kampiga mtu 5 cash out imefungwa,nainaglia ela inapotea ile
sasa mkuu cashout 770k total win 850k tofauti ya 80k una hasara gani mkuu uwe unaridhika
 
katika siku betting imeniumiza ni jana kumamae,naingalia cash out ya laki770,..win ilikua 850..apo atlanta nlokua nahofia sana game yake anaongoza 4,barca 2 ,liverkusern 3,man city 3..dah mara goli za mancity zikaanza kurudi kumamae..zilipofika mbili uku liberkusern kampiga mtu 5 cash out imefungwa,nainaglia ela inapotea ile
Daaaah we acha tu mkuu, kuna mwamba aliwahi kusema huko nyuma ukiona mhindi amekupa cashout usijiulize mara mbili chukua chapu
 
mkuu acha tu..game nlokua nawas was nayo ya atlanta anongoza nne,city ilikua tia maji ngoma 3..noana kabsa apa akuna uchawi tena nisuburi ela tu.
Ungetoa tuu mkuu yaan ukiona kweny betting umepata faida hata 30% shusha mzigo kaka sasa ulikuwa na hasara ya 80k kwan na stake yako hata kam ingekuw ni 100k shusha tu using'ang'anie kulipa loss ya nyuma
 
nimejifunza kitu kikubwa jana,nilikua nataka nicash out city anaingia kipind cha pili kapiga mbili fasta,
pale labda malaika wa bwana angenshukia ndo ningeamini kuna tema yeyote kat ya city,atlnta au barca anaweza zingua tena.
 
Dhaa hapa City kanikoseha milioni

Huu muhindi kakalia dole ela nzuri kabisa

Hapa napo muhindi kakalia dole ela nzuri

Hapa litimu lenu la wananchi limeshindwa hata ku draw tu limenikosesha milion 4 mama

Anyway kesho nayo nisuku wacha tulale sasa hahaja😉😁😁
We noma Hongera sana umempiga parefu😁
 
nimejifunza kitu kikubwa jana,nilikua nataka nicash out city anaingia kipind cha pili kapiga mbili fasta,
pale labda malaika wa bwana angenshukia ndo ningeamini kuna tema yeyote kat ya city,atlnta au barca anaweza zingua tena.
Noma sana kama Mimi ndo mwenye uchu na cash out nasema toaaaa hiyoooo, ila Leo nayo ni siku mkuu
 
katika siku betting imeniumiza ni jana kumamae,naingalia cash out ya laki770,..win ilikua 850..apo atlanta nlokua nahofia sana game yake anaongoza 4,barca 2 ,liverkusern 3,man city 3..dah mara goli za mancity zikaanza kurudi kumamae..zilipofika mbili uku liberkusern kampiga mtu 5 cash out imefungwa,nainaglia ela inapotea ile
Inauma sana hiyo mkuu
 
nimejifunza kitu kikubwa jana,nilikua nataka nicash out city anaingia kipind cha pili kapiga mbili fasta,
pale labda malaika wa bwana angenshukia ndo ningeamini kuna tema yeyote kat ya city,atlnta au barca anaweza zingua tena.
Hizi timu kubwa sahiv changamoto sanaa mkuu sema uzuri umepata somo
 
Mimi leo naenda hivi

669715
 
Attachments

  • share_1732697248157.jpeg
    share_1732697248157.jpeg
    160.2 KB · Views: 6
Back
Top Bottom