Noma sana kama Mimi ndo mwenye uchu na cash out nasema toaaaa hiyoooo, ila Leo nayo ni siku mkuunimejifunza kitu kikubwa jana,nilikua nataka nicash out city anaingia kipind cha pili kapiga mbili fasta,
pale labda malaika wa bwana angenshukia ndo ningeamini kuna tema yeyote kat ya city,atlnta au barca anaweza zingua tena.