blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Hongera sana kwa maamuzi kama kweli utayawezaWacha tu nijiweke pembeni kidogo
Ngoja nijikumbushe nilivyo mpiga Vx muhindi hela za kuhonga
Hapana, atashinda match..City auawe ndugu wawekezaji,ova.
Utapeli.Jamani nataka kujua hawa watu wanaouza odds za betpawa, ni za kweli au utapeli tu?
Ajqribu aoneUtapeli.
Utatoa sadaka hio ndio mhimu zaidiMwenye odd 3 sportbet naomba anipe niweke 500000 Nina shida na milioni 1 leo
8EEACB7 check hapa Mkuu uangalie angalieMwenye odd 3 sportbet naomba anipe niweke 500000 Nina shida na milioni 1 leo
Kaa mbali..utapigwa! Yaani utapigwa vibaya mnoo,utapigwa home and away.Jamani nataka kujua hawa watu wanaouza odds za betpawa, ni za kweli au utapeli
Inaweza kutoa, japo PSG ya sasa haiaminiki.Nina hamu ya kuwapa celtic psg barca halftime 🤣🤣🤣