Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usisahau sadaka

248C04D

Screenshot_20241130-114744.png
 
Yanga uhakika, Madrid usikilize moyo wako au cheza option tofauti na ushindi.
Madrid ananipa wakati mgumu nimeamua kumtema yanga naye hayupo kwenye mkeka nilitaka nijilipue naye mazima
 
YOUNG AFRICANS vs NAMUNGO

Imebidi niifuate huko huko SPORTYPESA hawa wengine wazushi mpaka Mechi ianze au Mechi ya Saa kumi iishe

Screenshot_20241130-135712.png
 
Na mimi nifanye nihamie sporty pesa mechi ya Yanga hawajaiwekwa kwa haya makampuni mengine
Fungua tu account ni simple

Mechi Z NBC huwa wanaziweka mapema mnooo

Unaunga Young Africans na Mechi kama Tatu hivi unatulia zako

Mie nimesajili Makampuni karibia 5 ya betting 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom