Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Kapigwa cha pili hapa.Barca amekaziwa first half inayoyoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapigwa cha pili hapa.Barca amekaziwa first half inayoyoma
Barcelona ni timu ya kubahatisha matokeo na vitoto vyaoPalmas kaamua.
Potezea weka game ya arsenal 3.5 overNalipuka na Las Palmas ashinde au draw odd 1.5
Too late mkuu nishalipuka na Barca kachomoaPotezea weka game ya arsenal 3.5 over
Naona bao la Barca VAR imefanya yake 😂Too late mkuu nishalipuka na Barca kachomoa
Huyu kocha wa Barca ni mpumbavu sanaDaa kazi kweli kweli,barca ananikosesha hela ndefu sana.
Kabisa hawa ni wabahatishaji tuuBarcelona ni timu ya kubahatisha matokeo na vitoto vyao
Hiyo timu ni kituko Sana.Eti leipzig ndani ya dk15 keshakula chuma3
Barca wanatukumbusha mtoto hawaelewi dhamana atakuaibisha tu
✅Nalipuka na Las Palmas ashinde au draw odd 1.5
Hongera mkuu[emoji736]