The conceited
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 440
- 496
Hakika. Hakosekanagi mjinga mmojaThere's always one..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika. Hakosekanagi mjinga mmojaThere's always one..
Yaani huyu mshenzi kaniharibia kabisaHuyu psg nae asitufanyie mambo ya barca
Duuuuh! Tuko wengiPSG kashaniua peke yake kwa ajili ya kudraw 1st Half. Mhindi aliniletea ofa nzuri wakati anaongoza nikakataa mara wakasawazishwa.
Et eee,inawezekana ikawa kweliNaanza kumwamini jamaa aliyesema tuliozaliwa tarehe 26, betting haitufai.
Hao wengine sawa yani hadi sporting CP goli limefungwa dakika ya 33 hadi full time wameshindwa kuchomoaPsg
Barca
Sporting Cp
Wamechafua hali ya hewa
Sporting siku zote waliaminika kwenye Ligi Yao hutoka na goli zaidi ya 2, Jana mambo yamekuwa kinyumePsg
Barca
Sporting Cp
Wamechafua hali ya hewa
Labda kocha wao kuondoka imeshusha morali ya timuSporting siku zote waliaminika kwenye Ligi Yao hutoka na goli zaidi ya 2, Jana mambo yamekuwa kinyume
Wako poa hawana kodi, siku hizi hadi wakala wapo.Wakuu nataka kuhamia melbet naona sportpesa upepo siyo. Vipi melbet wapo poa?
Tupo wengine na Mimi Nini mmoja wapo.Betting bana,yaani eti na wewe unaesoma Comment hii unajiona mpweke na umempa Feyenoord na Zurich mwenye Red card
Usijali tupo wenzio wengi🤣🤣🤣
Mkuu acha maneno yako 😂😂😂 usije tuua kwa ugonjwa huo huo 😂 mimi ni mekufautacode 4tu zamwanzoSportybet sportybet sportybet
131FB3
8490DA
75BCB10
0DC51FA
84C0B4
C2D540
EFFF71
C5097C
3E5AD49
EAC852
81CED0
01B757
74B489
💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵
Hizi codes zote hakuna timu za ugonjwa wa moyo
Uoga wako ndio umasikini wako
Betting sio rahisi ki hivyo
Endelea kupambana au achana na betting