kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 765
- 779
Okay sawa nashukuru kwa ufafanuzi.Mchezo utarudiwa, ila kama mchezo usiporudiwa ndani ya saa 48, utarudishiwa pesa yako na kama uliweka timu zaidi ya moja basi watapunguza odds za mchezo ulioahirishwa na kulipwa pesa za odds kwa timu ulizoshinda.
Kuna mwamba aliweka code nyingi nyingi kule juu nikachukua nne saa zimekufa tatu ila kuna treni linakimbia sana karibu lifike Kg. Moja wapo ya hio match