Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betway


πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅


125E4577


Hii code nimeweka tshs 2k

Hii code haina timu za ugonjwa wa moyo

πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅


125E8E88

Edited πŸ‘†
 
-a8hcn1.jpg

πŸ”πŸŽπŸŽ 𝐎𝐝𝐝𝐬 𝐎𝐧 𝐏𝐚𝐫𝐒𝐏𝐞𝐬𝐚 ⚽

Tumia Promo Code π“πˆππ’πŸπŸ’πŸπŸ’ Upate Bonus Ya πŸ‘πŸŽπŸŽ,𝟎𝟎𝟎 Ukijiunga Na Kudeposit.

Jisajili PariPesa Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: π“πˆππ’πŸπŸ’πŸπŸ’

Code>>> QSZKY
 
Muombe Man U goli over 1.5 odd 1.66
Muombe Madrid goli over 1.5 odd 1.63
Liv&City omba kona over 10.5 odd 1.8
Mfuate Spurs kwa Dc ya 1x odd 1.26
Game Chelsea No Red card odd 1.14
Jumla ODD 6+

Relax kisha agiza kinywaji chako bariiidi ili uje kunishukuru/kunilaani baadae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Stake what you can afford to lose πŸ™
 
wazee wenzangu msaada tutani,toka asbh nikitaka kuwithdraw pesa yangu betwinner sms ya code(tigo) nimejaribu kuwasiliana nao wanasena tatizo la kiufundi sas nmejawala na hofu!?
 
Kampuni yoyote ambayo ni clone ya 1xbet ni MAJAMBAZI
22bet
Helabet
BetWinner
Megapari
Paripesa
888Staz

Hizi kampuni ukiachilia mbali usumbufu wa kuweka na kutoa lakini siku ukiwaotea parefu SAHAU kuhusu kulipwa hela zako
Ukisha ona unaanza kuambiwa tuma email kwenye security team kwaajili ya KYC ujue shughuli unayo.....

Usidanganyike na DEMO ACC za wapiga debe, wao wanapata chao ukijisajili na kuweka hela lakini yatakayo kukuta mbeleni utajua mwenyewe

So make sure kama unatumia hizi kampuni basi zitumie at your own risk

Hapo walisajiliwa Tz ni Betwinner na Helabet lakini hawawezi kufika mbali watafungiwa soon kama 22bet sababu ya ubabaifu na uhuni wao

Tafuta contact za Bodi uwasiliane nao kama ni Betwinner na Helabet
Hao wengine bodi haiwatambui
Asante sana kwa ushauri shida yao ndo hiyo ila tunawafata kwa ajili ya options ambazo hizi kampuni nyengine hawana
 
Back
Top Bottom