Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Hata mimi sijawaelewa hapoNini hiki mkuu? Kigezo gani kimetumika kuchagua hizi timu?
Basi itakuwa fake news mkuuHata mimi sijawaelewa hapo
Kabla ya mechi zinaonekana vyema,,,,, ukicheza sasaviongozi,wikiendi hii hera imemwagwa....ni sisi tu kuzichukua
kanji ameamua kumwaga hera
Yani hata goli moja kupata ni issue ukiangalia timu ulizoziacha wanascore uliyochagua sasa ni 0-0Kabla ya mechi zinaonekana vyema,,,,, ukicheza sasa
Hii hapa uza ata shamba usiache kucheza hii beti. Kakipevmahali Hata 10M UWEKE.
Ilo ni kombe la dunia kwa ngazi ya klabu ( CLUB WORLD CUP )Nini hiki mkuu? Kigezo gani kimetumika kuchagua hizi timu?
Huyo anaweza akawa ni mtu wao.hakuna mteja anayeweza kusubiri aviator ifike odds 400,000 tena kwa 100..Basi kama ni mtego wametuweka wote Sportpesa wanaturisha matango poli Mimi pia nimetoa kwenye kurasa yao ya Sportpesa watajua wenyewe
Anaweza kuwa alicheza kidogo kidogo ana cash outHuyu jamaa nadhani alipo place bet alisinzia alipokuja kushtuka kindege kipo karibu na mwezini 😂
Na hivi kinaweza kufika odd 400,000 kweli?
Maana yake kwa akili ya kawaida kabisa umestake 100 halafu kuvumilia kidege kinafika laki, laki5 M1, M5 yaani unasubiri tu hadi 40M kwa akili ya kawaida ni next to impossible aiseee
Labda kama sio kindege