MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Na Leo Pia nikimkosa mhindi basi ntapumzika mpaka mwaka ujao, sio kwa mabomu hayo nilomtegea 





Mwenye uwekezaji wa malengoTuishi wapi apo kuna km mia ivi naona haina nafasi kwny walet
Mshamvuruga vuruga,,,, labda leo afumbe machoYule wa Conner atupe mzigo wa leo
Sasa wewe sibora ungeweka 2UP AU HOME TO WIN EITHER HALF😁Leo naanza kucheza roll over
Na achana na tamaa za odds milioni au maelfu au Malaki
Roll over zangu sitaki zizidi odds 50
Roll over #1
Sportybet
F9FBAB
Hahaha hela ya kumnunulia wax tuibetie Kwanza, tukiliwa ajali kazini... 😂😂Mkuu Odd 3 zinakuja mchana huu
Shemeji yako nyumba ndogo kaomba hela wax ya Xmass
Na bi mkubwa kabana sana bajeti kipindi hiki.
Sina budi kuitafuta kwa Kanji kwa udi na uvumba 😂
I've already stake what I can able to loose. .Atletico saa hii wamoto sana
Muombe tu Over 0.5
Odd 1.144
Derby ya Manchester timu zote hazieleweki omba kona over 10( unaweza kushuka kidogo)
Odd 1.54
Renaissance wakiwa kwao wanashambulia sana waombe Over 0.5
Odd 1.125
Chelsea na Brentford ni timu zenye nidhamu No Red card
Odd 1.145
Simuoni Southampton akifunga goli 3 mbele ya Spurs, Mzue South kwa under 2.5
Odd 1.25
Hadi hapo jumla ODD 2.5 zenye asilimia kubwa ya KUTOA
Ili tusaidiane lawama inabidi sana uchagua game moja ya do or die kati ya hizi
Milan Win Odd 1.54
au
Dortmund Win Odd 1.45
au
Mamelodi Win Odd 1.54
au
Atletico Win Odd 1.47
au
Simba Win Odd 1.68
Ukijumlisha na timu moja hapo juu ya do or die unapata kuanzia
Odd 3.5 hadi Odd 4
Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae
ALWAYS STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE 🙏
Mikeka yako nilijua utakata pumzi tu.Leo naanza kucheza roll over
Na achana na tamaa za odds milioni au maelfu au Malaki
Roll over zangu sitaki zizidi odds 50
Roll over #1
Sportybet
F9FBAB