Mkuu MAKANGEMBUZI ndo maana ikaitwa bahati nasibu ni kubahatisha,betting haina formulaIpo siku yako
Usisaliti kambi mkuu, bet for fun, stake what you can afford to lose...ndio siri ya huu mchezo.Rasmi nimeachana na huu utapeliii...RASMI NIMEKUBALI HUU NI UJINGA KWANGU. Wenzangu safari njema mbutue mamilion hayo
View attachment 3186012
China Basketball 🏀
Code>>> UM6GR
Betia PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.
Wenzako waliaga ivyo ivyo kama wewe na wakarudi hii ndio betting ikikuingia kuchomoka sio masihara.Rasmi nimeachana na huu utapeliii...RASMI NIMEKUBALI HUU NI UJINGA KWANGU. Wenzangu safari njema mbutue mamilion hayo
Murifeee Don't run ...Don't runRasmi nimeachana na huu utapeliii...RASMI NIMEKUBALI HUU NI UJINGA KWANGU. Wenzangu safari njema mbutue mamilion hayo
Kupanga ni kuchagua all the best tutakumiss sana bro.kwa mchangoRasmi nimeachana na huu utapeliii...RASMI NIMEKUBALI HUU NI UJINGA KWANGU. Wenzangu safari njema mbutue mamilion hayo
THE BLACK DIAMOND, 1xbet cash point Jinsi ya kujisajili 1XBET kwa urahisi na haraka.jamani nilishaomba sana namba ya LICAS SIGALLA lkn sijawahi kufanikiwa kuipata ,ni wakala wa 1xbet
Leo Odds 10 zimekata vibaya mnoo kuziset kwenye less riskMsaada wa kupata odds 10
Nataka niweke nusu ya hela ya kikoba ya mama chanja.
Nimempokea hela yake yeye kaenda moshi ...nikasema mtaji si ndo huu jamani
MUNGU akubariki,ukija uje na Jina jingine will ijayoRasmi nimeachana na huu utapeliii...RASMI NIMEKUBALI HUU NI UJINGA KWANGU. Wenzangu safari njema mbutue mamilion hayo
🤣🤣🤣daah leo siku ya kwanza bila jamviiMurifeee Don't run ...Don't run
Mkuu tunabet for fun .. japo hii ni kazi
Principle ya stake what you can afford to lose ndio nguzo pekee ya kuzingatia.
Pumzika .. utarudii tu
Nishaacha na kurudi mara kibao lakini sasa sitarudiiiMUNGU akubariki,ukija uje na Jina jingine will ijayo
Anayeacha haaagi,wala hatoi taarifa
Uzuri wa Betting ni kwamba unajitapeli Mwenyeweeee
Sasa anza kujikataa kwanza wewe mwenyewe
Ila Chama cha wachezaji KAMARI kinakushkuru saaana Tena saaana kwa kuchangia TRA mapato ya Serikali 👏👏👏👏👏
Ungeambiwa kwa hiari ungemtukana Mama SAMIA mpaka na Bibi yake
Sababu ni nin?Nishaacha na kurudi mara kibao lakini sasa sitarudiii
Hakuna option salama kabisaaa.Sababu ni nin?
Hawa mwanzoni walikuwa hawana cash out ila walianzisha hivi karibu, ajabu sasa hivi kama wameondoa kabisa maana huwa sioni hata dalili ya Cash outWazee wa kufunga cash out