Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

asante mkuu
 
Jaribu kuwa mtundu wa ku fix options

Kuna bonus ambazo zinataka kila Mechi iwe na odds kuanzia Fulani, wengine Wana fix odds za juuu Ili wakupige Tena,numbers of matches haijalishi ila odd ya kila Mechi iwe kubwa na overall Odds ina kiwango chake
Hilo sio tatizo.... Kikubwa ni kujua inatumikaje.......
 
Hiii imeenda vizuri mpk sasa
 
Naona Leo Brighton vs Brentford wanaocheza kistaraabu sana hakuna kadi first half hata moja🀣
Ngoja tuone kipindi Cha pili
 
Tuma salamu kwa watu watatu ..
Mimi: Natuma salamu kwa kanji namwambia sisi ni pipo tutaonana ... Cha mtu hakiliwii bure in Mzee said wa Simba's voice...

πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…