Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndo inakuwa siku ya mkosi watu wanapigana bao 8 kwa 3 πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo ndo kulia na kusaga meno! Yan Bora niliwe kwa odds kubwa sio kwa hyo ya 1.004! Duu hii ni risk sana kwa hyo milion 5
 
Ndo inakuwa siku ya mkosi watu wanapigana bao 8 kwa 3 πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo ndo kulia na kusaga meno! Yan Bora niliwe kwa odds kubwa sio kwa hyo ya 1.004! Duu hii ni risk sana kwa hyo milion 5
mara moja moja mkuu ukiibeti kila siku lazima kikulambe. Embu angalia Epl tangu ligi imeanza kama kuna timu zimetoa over 8.5 au 7.5
 
Ligi ya Misri ya kisengee sana. Wachezaji 40+ wanashindwa kufunga goli moja mpaka sasa hivi.
Bora hata ya ligi yetu siku hizi ina magoli.
 
Itoshe kusema mwanetu kwa huu ujasiri hata motoni unaishi fresh
 
Jamaa ni jasiri. Kwa hizo odds ili mtaji wake uwe salama aanze kula faida inabidi abeti mara 100 na ale in a row.
Yaani ikitokea akapoteza mchezo wa 87 atakuwa amepoteza mtaji na faida yote.
Hapo nadili na england ujerumani siendi
 
Kentaro sijamuona Leo..
Gavonor of bettors pia...
Maji maji sijamuona piaaa
Shin Lim...


Nyote nawasilimu kwa jina la Bwana Yesu Kristo.

Tumuombee Chelsea 🀣
 
Spurs 3 Liverpool 6πŸ˜‚ ubaya ubwela apo itokee gemu kama hyo umeisha
 
Ogopa sana mechi zenye high probability unakuta Zina odds 1.01 , apo utarisk uweke stake kubwa au timu nyng mwisho wa siku inalost
 

1 MILLION BOOOOMMMM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…πŸ”₯πŸ”₯πŸ’°πŸ’°βœ…βœ…βœ…βœ…

Jiunge MELBET Hapa Ili Kuanza Kushinda Nasi ⬇️

https://mlbt.cc/40coprj

https://mlbt.cc/40coprj

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 200000 Baada Ya Kudeposit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…