Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ogopa weekend timu KUBWA mda huu bado wanamrudisha pesa za wachezaji
 
Daah imebaki timu Moja na Bado haijaanza ila cash out hakuna.... Hawa jamaa hawanaga cashout eti!!? Maana ananipigaga hivihivi mwishoniiii ....
 
Wapi ..sijawahi ona nielekeze nivuye chap...
Ukifungua Mkeka wako utakuta kuna maneno yanakuja yanasema Sell For, kama unaona maneno hayo jua hiyo ndiyo Cashout, ingawa Cashout Huja kwenye baadhi ya aina ya michezo.
 
Ukifungua Mkeka wako utakuta kuna maneno yanakuja yanasema Sell For, kama unaona maneno hayo jua hiyo ndiyo Cashout, ingawa Cashout Huja kwenye baadhi ya aina ya michezo.
Sijawahi ona asee naonaga tu duplicate betslip....
 
Huwa inakuja. Ila kutegemea na Aina ya mchezo. Hiyo iliyobaki itacheza saa ngapi
Imeingia muda si mrefu... Ice hockey naona kabisa naenda kupigwa hizi mechi za alfajiri zinanilizaga sana .....
 
Mmmmhh..... Una withdraw hela masaa mawili haifiki ... Hawa PARIPESA Sasa nataka kuamini ni wezi....sijawahi kukutana na kitu kama hichi kampuni zote nilizokuwa na akaunti nazo..tafadhalini mkimbieni huyu mshenzi PARIPESA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…