oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
hii kampuni mnaipendea nini? Kama una haraka na hela yako hapa unagonga mwamba.View attachment 3189713
Nimewithdraw hapa naona zimepita dakika 10 bilabila..... Wanaleta hiyo jumbe..
Yameshapita masaa mawili asee..... Shenzi kabisa... Hawa PARIPESA....H
hii kampuni mnaipendea nini? Kama una haraka na hela yako hapa unagonga mwamba.
Mkuu hela yako hawajarudisha kwenye akaunti yako mpaka sasa hivi wala kufika kwenye simu?Yameshapita masaa mawili asee..... Shenzi kabisa... Hawa PARIPESA....
Haijarudi kwenye akaunti na kwenye simu haijafika .... Na hakuna option ya kuwapigia simu... Mambo gani Sasa haya... Mpaka Sasa ni masaa matatu....Mkuu hela yako hawajarudisha kwenye akaunti yako mpaka sasa hivi wala kufika kwenye simu?
Mkuu, hebu wasaliana nao Kupitia email hii payments-support@paripesa.comHaijarudi kwenye akaunti na kwenye simu haijafika .... Na hakuna option ya kuwapigia simu... Mambo gani Sasa haya... Mpaka Sasa ni masaa matatu....
Wewe unatumia nguvu kubwa sana kuwatetea hao matapeli wenzio.Mkuu, hebu wasaliana nao Kupitia email hii payments-support@paripesa.com
Sawa mkuu. Mkuu kumpa mtu mawasiliano ili awasiliane nao nakuwa na watetea mkuu?Wewe unatumia nguvu kubwa sana kuwatetea hao matapeli wenzio.
Nimeshatuma email....kimya .......mambo ya hovyo sana....Mkuu, hebu wasaliana nao Kupitia email hii payments-support@paripesa.com
Hesabu maumivuNimeshatuma email....kimya .......mambo ya hovyo sana....
Sioni tatizo..... Labda kama unaumia zaidi wewe ....Hesabu maumivu
Unalialia nini Sasa kama huoni tatizo akili zako zipo sawa kweli yaani unalalamika kumbe hamna tatizo hii kaliSioni tatizo..... Labda kama unaumia zaidi wewe ....
Unajichekesha tu mtoto mzuri .... Pole sana ..... Bahati mbaya situmii mashoga ..... Katafute soko kwengine....Unalialia nini Sasa kama huoni tatizo akili zako zipo sawa kweli yaani unalalamika kumbe hamna tatizo hii kali 🤣🤣🤣🤣
Ulishaambiwa hio Paripesa ni matapeli na bdo ukaendelea kubet. Pole kwa kudhulumiwa na hio hela hautaipata Maisha yko yote na hongera kwa kushinda.Haijarudi kwenye akaunti na kwenye simu haijafika .... Na hakuna option ya kuwapigia simu... Mambo gani Sasa haya... Mpaka Sasa ni masaa matatu....
Shida nini mbona hasira ushapigwa na wajanja wa paripesa hasira unaleta kwangu 🤣🤣🤣Unajichekesha tu mtoto mzuri .... Pole sana ..... Bahati mbaya situmii mashoga ..... Katafute soko kwengine....
Leo sikukuu subili mpka sikukuu zipite 😄😄Nimeshatuma email....kimya .......mambo ya hovyo sana....