Superficial
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 336
- 731
Kiongozi handicap zako unaweza kuwa unazishare hapaπMatreni ya Handicap ππ Huu mchezo ukituliza buyu Kanji atablock account yako
Nataka niweke 100k hapoView attachment 3191329Mimi nitaweka single ashinde 1H, akichemka nampa option hii maana odds zitakuwa zumeshashiba kidogo. Hapo tarudisha hasara na faida. Akichemka na hapa basi itakuwa ni hasara ya kawaida ya mkamaria.
Mfate mkuu daki 60 mambo magumu unavaa njumuuu unazama dimbaniNina milioni moja nataka nimfuate madrid mazima,ushauri wenu
Hahaaaa mkuuMfate mkuu daki 60 mambo magumu unavaa njumuuu unazama dimbani
Tafuta odd 5 au 4 weka laki.Nina milioni moja nataka nimfuate madrid mazima,ushauri wenu
Mimi nafanya hivi;Nataka niweke 100k hapo