Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

-76qujq.jpg

650K BOOOOMMMM ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅🔥🔥💰💰✅✅✅✅✅✅✅✅✅

Jisajili PARIPESA Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukideposit.
 
Nina milioni moja nataka nimfuate madrid mazima,ushauri wenu
Tafuta odd 5 au 4 weka laki.
Unabaki 9k mfukoni..

Maana faida utakayopata kwa kumfata Madrid mazima ni 4k ambayo unaweza kuipata kwa laki by odd 4 au 5

Ikitokea hasara katika options hizo unabaki na 9 kuliko Kupoteza million Moja tajiri
 
Nataka niweke 100k hapo
Mimi nafanya hivi;
Nikiwa na uhakika kwamba timu kubwa inaweza kushinda, nagawa mtaji kwa mpangilio ufuatao.
1. Nabeti first half ashinde kwa ushindi mzito wa kuanzia goli 2. Stake naweka 1/3. Akishinda tu, naachana na hiyo mechi kuibetia kimkakati. Nabeti kwa stake ndogo sana kujifurahisha tu.

2. Iwapo first half nikashindwa kula, naifata second half kwa option ile ile halafu naweka 2/3 ya mtaji. Kwa odds zake nikila tu nakuwa nimerudisha hasara ya 1H na faida juu.

Kwa mfano hapo kwenye picha nikiliwa tu nitamfata second half kwa 10,000 najua atakuwa na odds 2 hadi 3. Nikiliwa nakuwa
Screenshot_20250103-170755_MelBet.jpg
nimefunga hesabu ya siku.
 
Mimi nafanya hivi;
Nikiwa na uhakika kwamba timu kubwa inaweza kushinda, nagawa mtaji kwa mpangilio ufuatao.
1. Nabeti first half ashinde kwa ushindi mzito wa kuanzia goli 2. Stake naweka 1/3. Akishinda tu, naachana na hiyo mechi kuibetia kimkakati. Nabeti kwa stake ndogo sana kujifurahisha tu.

2. Iwapo first half nikashindwa kula, naifata second half kwa option ile ile halafu naweka 2/3 ya mtaji. Kwa odds zake nikila tu nakuwa nimerudisha hasara ya 1H na faida juu.

Kwa mfano hapo kwenye picha nikiliwa tu nitamfata second half kwa 10,000 najua atakuwa na odds 2 hadi 3. Nikiliwa nakuwaView attachment 3191525 nimefunga hesabu ya siku.
mmmh umejilipua
 
Ukiskia kisicho riziki hakiliki ndo hchi Cha Madrid , missed pk , cancelled goal , apo Yani unajiona huna bahatii
 
Kesho kila mtu ataamka na sura ya kuazima😂😂😂

Madrid katoa wajinga wengine wamezingua

Jmosi ya kucheka na surprise hii imefikia,pesa nje nje subiria Mechi zianze sasa
 
Mimi nafanya hivi;
Nikiwa na uhakika kwamba timu kubwa inaweza kushinda, nagawa mtaji kwa mpangilio ufuatao.
1. Nabeti first half ashinde kwa ushindi mzito wa kuanzia goli 2. Stake naweka 1/3. Akishinda tu, naachana na hiyo mechi kuibetia kimkakati. Nabeti kwa stake ndogo sana kujifurahisha tu.

2. Iwapo first half nikashindwa kula, naifata second half kwa option ile ile halafu naweka 2/3 ya mtaji. Kwa odds zake nikila tu nakuwa nimerudisha hasara ya 1H na faida juu.

Kwa mfano hapo kwenye picha nikiliwa tu nitamfata second half kwa 10,000 najua atakuwa na odds 2 hadi 3. Nikiliwa nakuwaView attachment 3191525 nimefunga hesabu ya siku.
Hii njia leo imetoa kimiujiza kwa Madrid.
Nilimpa ashinde 1H kwa 5000 akachemka.
Nikamfata 2H kwa 10,000 ndio nimepata 22,000 hiyo. Kurudisha hasara ya 1H na 7,000 ya vocha.
Screenshot_20250104-002058_888starz.jpg
Screenshot_20250104-010558_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom