Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
AiseeeeeeeeeeeeMatreni ya Handicap 🙌🙌 Huu mchezo ukituliza buyu Kanji atablock account yako
Khabari za siku wazee
Baad ya kumpumzika kwa Mawiki kadhaa Nataka kurejea leo kwa kuwaamini Real madrid na Porto wote wako ugenini nayaka kuwapa mazima au niende mbali zaidi niwape Win & 1.5 goals
Mnaonaje uwekezaji huu?
mkuu unakitu, tengeneza la betpawa bc tuanze mwaka kwa kishindo.Matreni ya Handicap 🙌🙌 Huu mchezo ukituliza buyu Kanji atablock account yako
Kiongozi handicap zako unaweza kuwa unazishare hapa🙌Matreni ya Handicap 🙌🙌 Huu mchezo ukituliza buyu Kanji atablock account yako