5 mpaka 10 na siku moja moja treini Simon mbaya
Hizo odds 2.69 za man city zimetoa. Kama uligawa basi umeshapata chochote kitu.
Wewe tu dada yetuTunaanza lini sasa
Huu mwaka ni wa kugawana hasara na π½ π€£
Mi nasubiri 2+ tuChelsea atatoa over 2.5 kweli
Hio ya 80k inaweza ikawa mtaji mzuri kwako huko mbeleni ni betting unaweza itao na mkeka ukatiki usikate tamaa wala kuumia ni experience ya kwenye kamari ya kila mtu lakini in safeguarding your asset kuichukua inakupa leverage ya kwenda tena na tena mfano kesho kwa hiyo 80k uka weka timu za 5 odds una 450k mdogo mdogoVip wakuu nichukueView attachment 3192336
Chukua ya chini ya chini kama inaruhusu, harafu ya juu hapo isubirieVip wakuu nichukue
Ya juu Brighton naona ana mkalia kooni Arsenal mambo magumuChukua ya chini ya chini kama inaruhusu, harafu ya juu hapo isubirie
bora kama ulichukua ya juu....Ya juu Brighton naona ana mkalia kooni Arsenal mambo magumu