Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwema ndugu maafisa ubashiri?,
Kama kuna mtumiaji wa melbet hapa, naomba anijuze namna ya kutoa hela kutoka melbet. Kila nikijaribu kutoa kwa Airtel money naambiwa hivyo.

 
Wadau za januari tulivuโ€ฆ Mimi kama jokeri wa kubeti leo naona kabisa TP Mazembe akishinda, na kwa maono hayo hayawezi pita hivi hivi hivyo basi nimeamua niweke dau la 1M fedha za kiTanzania kwenye keka langu ambayo malipo yake ni zaidi ya mil 10 after Tax. Wenye ndoto kama mimi ruksa kutia dau

 
Siku hizi milioni moja ina sifuri mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ