Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wenye roho ngumu mpeni 1H Al Nasri ashinde 1H ana odds 3.64 ila kashapigwa 1.
Nataka nijilipue ila kwangu wamefungia kubeti hawaachii.
Screenshot_20250109-200902_MelBet.jpg
 
Kwema ndugu maafisa ubashiri?,
Kama kuna mtumiaji wa melbet hapa, naomba anijuze namna ya kutoa hela kutoka melbet. Kila nikijaribu kutoa kwa Airtel money naambiwa hivyo.

Screenshot_20250110_080858_MelBet.jpg
 
Back
Top Bottom