Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naichek ,ndio maana nakwambia wakirekebisha kwenye umaliziaji ,wanashinda ata tatu
Haya Mdau tupo

Maana kaunya waliyopigwa ya kifundi na wao kushambulia sio Shida shida wenzao wakipata mpira wanawafuata kwa Kasi mnoo

Maana yule beki alipewa Chakula tu jamaa na Ronwey Williams chuma.kileee
 
Live Betting

Stake what you can afford to lose
 

Attachments

  • 5FEC320E-074D-4F06-9C4E-EE9C0B5E1158.png
    159.6 KB · Views: 5
Kama kuna mtumiaji wa bet365 humu, naomba kujua njia unayotumia kuweka hela.
 

Attachments

  • Screenshot_20250111_190359_Chrome.jpg
    194.4 KB · Views: 3
Mwenye nafasi atengeneze mkeka wa excluded number of goals, mana kubeti probability, statistics, majina ya timu , odds ishakua jau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…