We jamaa una mtaji wa tsh ngapView attachment 3199460
340 Odds On PariPesa 🏆
Booking Code: F2SZ1
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Mfumo hauchezi bwana sema tuu man utd vipusa wengi sanaila man u huyu kocha wao pia ni tatízo,
mfumo wa 3-4-2-1 kwa epl utamsumbua sana, walichemsha kina Conte na Chelsea ile ndio aweze yeye?
Aise kwenye one and two...hapo ni both teams to score au o2.5?CEA07F
SB
Mkuu nasubiria kitu kama hili kutoka kwako leoChama la Wana!
View attachment 3198460
Hizo ni litokee goli kabla ya HTAise kwenye one and two...hapo ni both teams to score au o2.5?
Mechi gani leo ina gg au over 2.5 niweke kibuki ten changu cha ngamaHizo ni litokee goli kabla ya HT
Simba Draw 1-1. , yanga 3 -2. HilalWakuuu vip hizi za simba vs bravos
Al hilal vs young Africans
Weka yanga ashunde.. simba ashinde au sare.. halafu kopa kabisa bank uwezo wako wote ikiwezekana hata weka bond chochote baadae utanishkuru😀Wakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
Download app ya cricify tvWakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
Mpaka dakika hii nyau nyauTotenam anazingua Leo,anaanza kuharibu mambo mapema
Nikiwaza kuwafata goli 3 ila nikaona Bora nicheze kadi 2.5 imetoaTotenam anazingua Leo,anaanza kuharibu mambo mapema