hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Wakuu nahitaji Odds 10 tu...nataka kuweka nusu ya mali zangu.
Tafuta team za wanawake na under 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nahitaji Odds 10 tu...nataka kuweka nusu ya mali zangu.
Ndio kuna njia ya wakala na mobile payment kama ukitaka.Ukitaka ku withdrawal mpaka umtafute wakala kama ilivyo kwa 1xbet?
Kati ya hizo ulizotaja ipi ina mobile payment kwa ku withdrawal?Ndio kuna njia ya wakala na mobile payment kama ukitaka.
Hata mm ilisumbua ila imekaa vzurHivi mnaotumia Voda uko hela zinaenda au zinafika
Tumia megapari ndio best kwangu,Unatoa na kuweka mwenyewe bila wakala na haina usumbufuKati ya hizo ulizotaja ipi ina mobile payment kwa ku withdrawal?
Nimemuomba Goal 2 aseehAjax ajax
Yan nawacheki hapa...wanakimbizwa mbayaNimemuomba Goal 2 aseeh
Anatakiwq atoe hata overYan nawacheki hapa...wanakimbizwa mbaya
Zote zina mobile payment isipokuwa melbet na 888starz zina nyongeza ya wakala.Kati ya hizo ulizotaja ipi ina mobile payment kwa ku withdrawal?
Nataka nimfate niombe goli 1 ina odds 1.54 now maana mawili niliyomwomba naona kama muujiza hapa.Ajax ajax
Achana nae mkuuNataka nimfate niombe goli 1 ina odds 1.54 now maana mawili niliyomwomba naona kama muujiza hapa.View attachment 3182558
Katia kamojaAchana nae mkuu
Hafungii huyu
Achana nae mkuu
Hafungii huyu
Kashafunga mawili mbonaAjax nimempa over tu 1.5 dah 😢
Mfwenye uendelee tu