Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani Leo huna wa kumlaumu 😂 unashindwa umlaumu nani , man u atapona matusi mana Celtic ,Fulham , Chelsea wote wameshindwa kufunga goli Moja tu Yani mech zote 0-0 , Bora man u kawapa wazee wa over 1.5 😂
 
Sasa subiri hiyo boxing day ndio kilio kitakuwa kikubwa zaidi

Celtic
Fulham
Man u
Chelsea

Niliwaambia humu baada ya ajax na As roma kushinda cash out
 
Maombi yenu wadau
Screenshot_20241222-192322.png
 
Sema wakuu betting ni hatari sana utrecht kaninyima m7 na alikua anaongoza aisee sikukuu imeniendea vibaya 😢 😭 😢 😭

Sema wakuu betting ni hatari sana utrecht kaninyima m7 na alikua anaongoza aisee sikukuu imeniendea vibaya 😢 😭 😢 😭

Kuna timu kama zinabet vile
 
Sema wakuu betting ni hatari sana utrecht kaninyima m7 na alikua anaongoza aisee sikukuu imeniendea vibaya 😢 😭 😢 😭

Dah aisee inauma kinoma yaani
 
Ukibet timu ishinde ina draw au inafungwa
Ukibet gg haitoi kama Chelsea leo
Ukibet corners over inatoa corner 5 tu
Ukibet no team to score three goals in row haitoi kwani kuna timu inaruhusu goli tatu in row kama man leo dhidi ya Bournemouth

Ukibet under 3.5 wanafungana magoli 2-5 kama game ya Liverpool now dhidi ya spurs dk 78
 
kina chelsea hao,
mikeka yote 3 kachana huyo kilaza!

individual total over 0.5 kachana,.
kona over 8.5 kachana,
overall total over 1.5 kachana!
 
Treni zinadondoka lakini tunaendelea kubetia pesa ya kanji
 
Attachments

  • Screenshot_20241222-223942_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241222-223942_SportyBet.jpg
    142.7 KB · Views: 32
Sema wakuu betting ni hatari sana utrecht kaninyima m7 na alikua anaongoza aisee sikukuu imeniendea vibaya 😢 😭 😢 😭

Mkuu pole sana. Ingawa betting haina fundi lakini kuna vitu vya kushauriana.
Kwa hiyo stake ningekushauri uwe unatafuta odds 1.4 mpaka 2 ambazo unawakilisha unazipata kwenye game 1,2 mpaka 3.
Kutafuta odds hata kama 1.04 kwa game nyingi ni hatari maana nazo zinachangia kama kawaida.
 
Back
Top Bottom