Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
Weka yanga ashunde.. simba ashinde au sare.. halafu kopa kabisa bank uwezo wako wote ikiwezekana hata weka bond chochote baadae utanishkuru😀
 
Imekula kwetu hii
Na mpiraaa umeisha mikeka9 yote imekwenda hapa sijui nilie kwa staili gani mana hela ya kula sina Dah kumamamakeeeerrreeeeee laki mbili shwaaa shenziiiiiiiii nzinzinziii nzinzii aah walah muhindi nakufa na njaa mwenyewe namba yake mwambie hata Teni tuu aniludishie nadaiwa mimi dah
 
Wakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
Zote zipo live SPORTYBET

Hata za Mida hii ukiiingia zinaonyeahwa

Bundle la Buku mbili tu utaona zoote MB zitatosha
 
Na mpiraaa umeisha mikeka9 yote imekwenda hapa sijui nilie kwa staili gani mana hela ya kula sina Dah kumamamakeeeerrreeeeee laki mbili shwaaa shenziiiiiiiii nzinzinziii nzinzii aah walah muhindi nakufa na njaa mwenyewe namba yake mwambie hata Teni tuu aniludishie nadaiwa mimi dah
Dah kubet saa nyingine ungese sana ,dah,katimu kama haka kweli kameisumbua totenam.
 
Screenshot_20250112_182517_Opera.jpg
 
Back
Top Bottom