Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Clean sheet ni timu kumaliza mechi pasipo kuruhusu goli hata moja

Sasa wewe ulivyobetia ni kuwa hiyo timu ya away isiruhusu goli.

Ila imeruhusu kwa kufungwa goli moja
mmh....siyo kweli ☝☝
 
Attachments

  • Screenshot_2025-01-17-18-43-37-60.png
    Screenshot_2025-01-17-18-43-37-60.png
    142.9 KB · Views: 35
Uchambuzi na CODE ya mizimu ya mababu zangu unakuja hapo baadae

Nina 270k kwenye acc yangu ya betting na nina hitaji 1.3M shemeji yenu nyumba ndogo anasumbuliwa kodi na mwenye nyumba

Nimemwambia SUBIRI WEEKEND KUNA MCHONGO NASIKILIZIA 😂😂
 
Nipe hiyo hela kabla ya weekend kuisha nakutumia milion 2 chap
 
Back
Top Bottom