Prince255
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 443
- 1,228
Inategemea na kipato chakoKubet kama starehe huwezi stake 90 elfu boss wng
Inategemea na kipato chakoKubet kama starehe huwezi stake 90 elfu boss wng
Away win and over 1.5Oya wazee hizi odd 2 za over 2.5 game ya Simba hazitoi?
Kawambia Nan kamari inaongezeka kipatoInategemea na kipato chako
Unapata majibu gani na ulideposit kwa njia gani?naomba kama kuna wakala wa linebet please kuna hela inagoma kutoka
Zinatoa mkuuOya wazee hizi odd 2 za over 2.5 game ya Simba hazitoi?
nilisajiri kwa lain ya tigo ila siku naweka hela nikatumia lain ya halopesa sasa nikitoa kwa kitumia halopesa inaniandkia aproved ghe baada ya dk 3 hela inarud kwende id shida n nnUnapata majibu gani na ulideposit kwa njia gani?
Oya hilo la kujilipua sio? Acha basi nimpe goal 1, ana Odd 1.71Away win and over 1.5
nilisajiri kwa lain ya tigo ila siku naweka hela nikatumia lain ya halopesa sasa nikitoa kwa kitumia halopesa inaniandkia aproved ghe baada ya dk 3 hela inarud kwende id shida n nn
😅😅😅😅 hii kazi ngumu.Maneno yote haya ni ile 16,000 uliyokula? 😂
Kuna shida somewhere.Unastake 90,000 ili upate Laki 😂🙌