Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Na inaonekana kashambuliwa Como ana shoot on target 4 first half!?!Atalanta kashaanza uchawi
Game imeshatoa over 2.5 halftime, Haya majamaa hata yakishindwa kufungana siku nyingine, unaweza watetea. Game ilikuwa na odd 1.77 kwa over 2.5 na wamweua mapema tu.Hawa Leverkusen wa moto sana, over 1.5 tayari.
Tayari ana goli mojaArsenal dah!
Nilihitaji Total over 1.5Tayari ana goli moja
wameondoka na treni langu hao wahuni pamoja na arsenalbrighton hata dc hakuna.....
hii biashara ishaingia wasukuma!
Naye ni muhuniNottingham Forest anaelekea kunilaza na viatu leo maninaaa
Sijawahi zielewa ngoja wajeView attachment 3213907View attachment 3213909
wakuu hivi hizi asian handicap na handicap huwa zinahusiana na nini?
Nilikuwa niko busy leo ila sasa hivi ndio napata muda.kimya kaka
Fanya mambo ni cash outNilikuwa niko busy leo ila sasa hivi ndio napata muda.