Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odd 8000 preambet stake 500 imelost Moja ya odds 2.75
Je bonus za Hawa Huwa ni bei gani?
 
Wakuu hivi handcap -2 au 2+ ina maana gani
Uliyempa -2 ashinde kwa tofauti ya goli 3 mfano 3(-2)-0 au 4(-2)-1, wakati huyo wa +2 ashinde au sare ila asifungwe zaidi ya goli 1 mfano 1-0(+2), 2-1(+2).

Hasi maana yake mbabe katanguliwa kabla mchezo haujaanza lazima ashinde zaidi ya hizo goli. Chanya umemtanguliza kibonde asifungwe zaidi ya goli ulizompa.
 
Mmh hiyi ngumu kumeza
 
Fulham game 7 za mwisho mfululizo lazima ana score bao 2+
Na Man U game 7 za mwisho mfululizo lazima ama afunge goli 2+ au afungwe yeye goli 2+

Ngoja nimdhamini Man U win & total 2.5.
Odd 4.55
πŸ™πŸ™πŸ™
Toka mwezi wa 8 mwaka jana Nilipo deposit 100k hatimaye jana rasmi Acc yangu ya betting Man U ameikausha ...... 0 balace

I had a good run though πŸ™πŸ™πŸ™
 
Pata 300,000 Bure Leo

🎯Jisajili PariPesa Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

- Tumia Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424

- Deposit Upate Bonus Yako.

- Bonus Yako Itawekwa Kwenye Akaunti Yako Ya Bonus Automatically.

βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…. Game Za Leo Zitakuja Hivi Punde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…