stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Hapana..Mnakimbia kimbia sana
Nimeona kuna mahali wanaweka correct score kila siku na zinatoa sawa sawa...
Ajabu ni kuwa hizo games zipo flashbet tu , makampuni mengine hazipo..😆
Sasa ndo nikawaza hii kampuni ni legit kweli?
Mbona kama ya ajabu
