makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Yaaani mpaka nashangaa Hawa sawa ni kwenda nao live tu.Bundesliga nako leo hakuna magoli kabisaaa
Yaaani atalanta Leo wa motooo sanaBado moja
Kama home ilikuwa 2up means afunge bao mbili mkeka umetiki ila akiongeza 3 na kundelea bado umetikiDuh! Mbona ni option delicate sana? Means ikiscore goli 3 umeloose?
Ngoja kwanza hizi mechi za ujerumanii ziisheJe naweza kutumia 365 bet ambayo haipo tz kwa njia za kudeposit... kuna option nimeipenda kule..
Ujerumanii Leo wametuvuruga sanaaaaYAANI LEVERKUZENI KILA NIKIWEKAGA 2+ NAJIFANYA ANATAKA KUSHINDA GOLI 1 TENA JIONI ILI NICHANE DAH
Pole sana mkuuuCha ajabu kila mkeka eti nilimuweka tena 2+....dah kanji leo anasaga pilipili tu
Ni vilioooooo1.5 over leo ujerumani leo wametunawa
Hatari sana mkuuNi vilioooooo
Aaah,jicho gani mkuu? Kwangu Leverkusen kaondoka na salio kubwa sana. Kwa leo tulale mpaka kesho.Nacheki gem ya Newcastle hapa tayar kuna goli nne kipindi cha kwanza na iko open so wazee wa live ipeni jicho gem hii
Daah pole afisa ubashiri mwenzangu mi live niliruka na gem ya dortmund kwa bundesliga.Aaah,jicho gani mkuu? Kwangu Leverkusen kaondoka na salio kubwa sana. Kwa leo tulale mpaka kesho.