Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
anaulizwa ni site gani ankausha. wakati ukiangalia last seen ni muda mfupi uliopitaMkuu tupe site hiyo tuifanyie kazi
anaulizwa ni site gani ankausha. wakati ukiangalia last seen ni muda mfupi uliopitaMkuu tupe site hiyo tuifanyie kazi
HAHAHAHAHAHAHAHAA....KWELI HUYU MUNGU KAZI ANAYOJeju Utd ... daaaah. Mkeka mmoja nlimpa HT Over 0.5 kauchana, mwingine nimempa FT over 1.5 anauchana ... hatuna nafuu hakyanani.
Mungu tusaidie.
sawa mkuu. sasa nimeelewa. hawa makanjibai ndio wamenivuruga na vipigo pamoja na malelezo yao ya ki-QUMER. kumbe TRANSACTION ID = REFERENCE NUMBER. kama ni hivi, basi tayari nimefanya hivyo lakini pesa bado hazijasoma kwenye akaunti yangu. nimewatumia email makanjibai wamenijibu KUNYER wakasema niwapigie voda wanirudhishie fedha zangu. huu ni usumbufu mwingine wa kipuuzi kabisa. ngoja niende nikabet bet shop maana naona meridian online bado wanazingua na server error zao. asante kwa maelekezo mkuu.Tpaul, mbona simple tu mzee ... au umechanganyikiwa na vipigo vya mfululizo??
Kwenye menu ya m-pesa:
Weka namba ya kampuni: 500700
Weka kumbukumbu ya malipo: Transaction ID (au Reference No)
View attachment 388622
Unaendelea na mengine ...
NB: Transaction ID = Reference No:
sawa mkuu. sasa nimeelewa kwamba TRANSATION ID = REFERENCE NUMBER. sasa tupo sawa. hayo yote nimefanya lakini bado fedha hazijasoma kwenye akaunti yangu...nadhani kuna tatizo upande wa vodacom maana kanjibai wamesema fedha bado hazijawafikia.Tumia hii nilio weka red colorView attachment 388599
all the best mkuu.Hapa vipi wadau
View attachment 388607
pamoja sana mkuu. nimekupata...basi vodacom ndio wenye tatizo maana bado hazipo kwenye akaunti yangu hadi sasa na kanji wamesema hazijawafikia.transaction ID ndio ref number wanayo kupa.
kwa mujibu wa hiyo picha transaction ID ni 57981.
na nmba ya kampuni ni 500700
ikiwa unaona huwezi saidia wenzio ,kwa issue ndogo kama hii, ni bora ukaringishia mkeo na wanao
HAHAHAHAHAHAHAHAA....KWELI HUYU MUNGU KAZI ANAYO
ulipata medeji ya uthibitisho? from vodacom.pamoja sana mkuu. nimekupata...basi vodacom ndio wenye tatizo maana bado hazipo kwenye akaunti yangu hadi sasa na kanji wamesema hazijawafikia.
Mliokuwa mnaulizia ndo hiyo apo juuuuuuuu
wakuu, nashukuru kwa maelekezo. hatimaye sasa akaunti imefunguka...ngoja nijaze fedha nimkaangie kanji.Tpaul, mbona simple tu mzee ... au umechanganyikiwa na vipigo vya mfululizo??
Kwenye menu ya m-pesa:
Weka namba ya kampuni: 500700
Weka kumbukumbu ya malipo: Transaction ID (au Reference No)
View attachment 388622
Unaendelea na mengine ...
NB: Transaction ID = Reference No:
yeah nilipata mkuu. sasa naona akaunti imefunguka...ngoja nijaze mafuta nimkaangie kanji.ulipata medeji ya uthibitisho? from vodacom.