Noma sana mzee mwenzangu. Unaona mambo ya aston villa? watoto wana red na bado wanampiga. Kuna muda unaanza kuhisi uenda hawa watu wanapanga matokeoPole mkuu
Hapo issue wala sio odd kubwa au ndogo
Betting ni mchezo wa kikatili sana..... yaani kila siku huwa inakula kwa mkamalia ☹️
Madrid kashachomekwaMadrid kala umeme huko
Ataweza kulinda bao lake kweli?
Hii shughuli ni PEVU sana aisee
Vin analisaka sana goli ,wanashinda hii mechi japo wapo pungufuReal madrid kashindwa kushikilia bomba. Kule aston villa nae hatma yake haijulikani.
Imekwisha hiyo mkuuVin analisaka sana goli ,wanashinda hii mechi japo wapo pungufu
Never chase your losseswakati wa kutengeneza jambo la kujiuliza unatakiwa usitumie hasira maana ya kujiuliza yanachanikaga vibayavibaya
Hii imetoa kwa waliofuataWakamaria habari zenu.
Betting haina mwenyewe ila naombeni maoni yenu hapa nataka niweke nusu ya utajiri wangu kwenye hizi mechi mbiliView attachment 3237086
Mkuu kama uliweka utajili wako nusu basi uko vizuri maana unapata hela nzuri kabisaHii imetoa kwa waliofuata
Niliweka 30k tu mkuu.Mkuu kama uliweka utajili wako nusu basi uko vizuri maana unapata hela nzuri kabisa
Jumla si zilikuwa odds mbili mkuuNiliweka 30k tu mkuu.
Nabeti tena mpaka Jumanne Inshaallah.
Ilikuwa 1.87 OddsJumla si zilikuwa odds mbili mkuu
Siku nyingine mkuuAta buku Tano😁 basi mkuu🙂