Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hatimaye mhindi kanibutua jana ktk live ya bayern baada kupiga tiketi 11 mfululizo dah.Live napumzika hadi j4
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-16-12-03-44-771_com.android.chrome.jpg
    194.3 KB · Views: 5
Hatimaye mhindi kanibutua jana ktk live ya bayern baada kupiga tiketi 11 mfululizo dah.Live napumzika hadi j4
Kila gemu Bayern hua anashinda Tena Kwa kishindo. Jana nikamuekea mzigo wa maana. Looo! Ana roho mbaya, hata shoot on target Hana. Weekend yangu mbovu kabisa.
 
Wakuu mhali gani?

Jumapili ya Leo date 16 feb. 2025 nawaletea hii challange ya Odds 2 kila siku kwa siku 8 tu, pia kwa atakae enda na mimi tuongozane. cas last week niliweza, japo dah niliogopa vibaya na stress kama zote kila siku😂
takua napost 2 odds kila siku hapa hapa, stay tune.

lets try hii wiki pia, kufikia jumapili ijayo tuingize 256k+ kwa 1000 tu.

1000x2odds day 1 = 2000
2000x2odds day 2=4000
4000x2odds day 3 =8000
nk.........
siku ya 8 = 256,000.🙏

weka lengo then timiza, we can do it.
 
Hizi hesabu zako kama unaingia mwenyewe uwanjani kucheza, una uhakika had siku ya 8 hutopeteza.
 
DAY 1.
2.41 odds🙏

Tumia betpawa, code 16FE92BD
1. Vitesse
VS
Graafschap - ov 1.5
2. Rugensburg vs hamburg - ov 1.5
3. barcelona vs bilbai -ov 1.5

ziko match 7, inachoshq kutype, weka,code utona zote kirahisi zaidi ,16FE92BD
DAY 1.
2.41 odds🙏

Tumia betpawa, code 16FE92BD
najaribu kutype inachosha asee na siwezi screenshot ili mcopy cas hawaruhusu screenshot, tumi code tu iwe rahisi 16FE92BD

match ziko 7 tu, ov 1.5 zote.🙏
 
Hizi hesabu zako kama unaingia mwenyewe uwanjani kucheza, una uhakika had siku ya 8 hutopeteza.
mkuu, nimepiga 246 wiki ilopita kwa odds 2 kila siku, najitahidi sana kuchambua, japo kubet ni kujaribu tu, inaweza match 1 tu ikakuangusha, but hii ya odds chache kila siku ni nzuri sana na inalipa sana kuliko matreni mkuu., try utakuja kunishkuru mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…